Shule iliyoongoza matokeo kidto cha nne 2016




Shule ilio ongoza matokeo ya kidato cha nne 2016


image

Kaizirege secondary school ni shule iliyopo mkoani kagera katika wilaya ya bukoba. Shule inapatikana kilometa 6 kutoka manispaa ya bukoba katika kata ya ijuganyondo. Shule ina namba ya usajili S4631, na shule hii imeongoza katika matokeo ya kidato cha nne 2016. Bofya apa kuangalia matokeo yake kaizirege form four necta results 2016

image

image

image


No comments

Powered by Blogger.